레와 사파리 마라톤
동행

Nitawakaribisha Kenya kwa Lewa!

Mimi ni mkimbiaji kutoka Nairobi. Kama unakuja kwa Lewa Safari Marathon, tunaweza kukimbia pamoja Nairobi kabla ya safari ya kwenda kaskazini. Nitakuonyesha njia zangu za mazoezi.

Nitawakaribisha Kenya kwa Lewa!
댓글 3
SubThreeDreamerGB영어

MbioAsubuhi this is brilliant, I have wanted to run Lewa for years.

LongRunSundayAU영어

Would love to train with Kenyans before, count me in!

MbioAsubuhi글쓴이KE스와힐리어

Karibuni sana! Tutapanga pamoja.